Lengo na Madhumuni ni kuwa na jamii iliyoelimika kwa ajili ya kutengeneza Taifa bora la kesho
Tunatoa hamasa katika masuala ya kielimu na kusaidia watoto waliopo katika mazingira magumu kwa kuwanunulia mahitaji muhimu ya shule na kutoa elimu mbalimbali.