LENGO NA MADHUMUNI
Kuwa na jamii iliyoelemika kwa ajili ya kutengeneza Taifa bora la kesho.

Angalia zaidi

Kutoa hamasa katika masuala ya kielimu na kusaidia watoto walio katika mazingira magumu

Angalia hamasa zetu

Kuwasomesha na kuwanunulia mahitaji muhimu yanayohitajika shuleni kwa ajili ya kuendelea na masomo yao

Misaada yetu  Angalia zaidi

Kutoa elimu mbalimbali kama za Afya, Masuala ya kijinsia na mengineyo yanayohusu ukuaji wa jamii.

Gusa kuona zaidi

TANZANIA YOUTH EDUCATION FORUM

Mlezi wa Taasisi yetu

Mh. Mohamed Omary Mchengerwa
Mlezi wa taasisi yetu ambaye hutushauri na kuhakikisha mipango yetu inalenga katika kufikia malengo halisi.

Wasifu wake (CV)      Ona zaidi   
Watoto katika hali Ngumu

Taasisi yetu inashughulika na watoto walio katika hali ngumu kimaisha kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yote ya lazima kuendelea na masomo yao.

Angalia zaidi      Bofya hapa   
Elimu ya mambo ya Kijamii

Taasisi yetu hutoa elimu ya ukuaji na Jinsia kwa watoto ili waweze kujitambua na kujua wajibu wao katika jamii na elimu ya mazingira pia

Angalia zaidi      Bofya hapa   

Malengo ya Taasisi kwa ujumla

Lengo na Madhumuni ni kuwa na jamii iliyoelimika kwa ajili ya kutengeneza Taifa bora la kesho kwa kutoa hamasa katika masuala ya kielimu na kusaidia watoto waliopo katika mazingira magumu kwa kuwanunulia mahitaji muhimu ya shule na kutoa elimu mbalimbali.
Soma zaidi

Matukio mbalimbali ya Taasisi yetu

Kiongozi akitoa vifaa kwa mtoto kwa ajili ya kusomea

Hii ni mokawapo ya kazi na malengo ya taasisi yetu.

Baadhi ya mahitaji tukikabidhi kwa Waalimu walezi wa watoto

Katika kuboresha taaluma zao na kuwapa hamu ya kujisomea pia

Tunajadiliana na wazazi katika kazi kuhakikisha tunafikia malengo

Wazazi ni kiungo muhimu sana kwetu katika kujadiliana katika kila hatua

Tupo tayari kupokea maoni ya wadau wote wa elimu

Tutumie maoni yako wala usijali yote tutayafanyia kazi kwa muda stahiki (Tunajali maoni yako kama mdau wetu).